Baada ya Jana kudaiwa kuchapana makonde kwenye uchaguzi wa Naibu Meya wa Dar es Salaam, Meya wa Ubungo Boniface Jacob na mwenzake wa Temeke, Abdallah Chaurembo wamefunguka sababu za kupigana ambapo kila mmoja alisema aliamua kupigana ili kulinda maslahi ya chama chake na wananchi.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI...USISAHAU KUSUBSCRIBE
No comments:
Post a Comment