Saturday, January 13, 2018
JAMANI ANTII....NISHUSHE UNUNIO...! - 16 MWISHO
ILIPOISHIA RISASI MCHANGANYIKO: “Vivian weweni katiya wasichana warembo wenye kumvutia kila mwamaume! Umeumbwa ukaumbika mamaa! Nakuombakwa muda huutukumbushie yale mambo yetu ya zamani kipindikile tumeanza uhusiano,” Rama kwamara ya kwanza alishindwakuzuia hisia zake nakujikuta akishikilia mapaja ya Vivian… Vivianakajitahidi kupingana nayelakini akashindwa kwa sababu kilekinywaji kilimtuma Ramakuhama eneo lamapaja nakuelekea katika kifua cha Vivianhali iliyomfanya kuwa mpole nakumuacha kutazama idara nyeti… MALIZANANAYO SASA… VIVIAN hakuwa nanamna tena. AkamuachaRama aendeleena alichokuwa anakifanya, ingawa kuna mahalialilazimika kumzuia kwanguvu kutokanana kuzidiwa naujuzi wa Rama, yotehaya aliyafanya lakini kwageresha tu, moyoni alianza kusikiakiu ya kukunwa kwanazi yake. Ramahakuwa naaibu wala simile. Tayari ubongowake ulishachanganyikana namaji yenye kimea nakuondoa kabisa uwezo wakujidhibiti ukizingatia ukwelikwamba hakukuwa nachochote kigeni mwilini mwa Vivian kwani walishakuwawapenzi kipindi ambacho wote walikuwa wageni waJiji laDar, ndiyo kwanzawalikuwa naKrismasi moja wakiwa mjini. “Rama bwana, nini lakini…. Mimisitaki ujue,” Vivian alianza kulalamakimahaba huku akijikunjakunja kufuatia vidole vyaRamakuanza kugusamaeneo yenye shotiza umeme naziletazo hatari zaidi mwilini mwake, mwenye asili ya Tanga, mkoaambao unasadikiwaumejaaliwa wakaziwenye ujuzi wa mahabana mapenzi. Ninaposemamahaba na mapenzi msomaji, lazimaujue kwamba nazungumziamambo makubwamawili totauti. Mahaba niyale manjonjo ya wapenziwaonyesheapo wakiwa wawilikwenyeeneo husikana mapenzi ni zile hisia za ndani wamoyo wa mtu kwamwingine. Ramaalizidisha utunduna kuanza kumkabilimwanamke wawatu kwa hali ya kujiamini zaidi. Ikafikamahali wote wawiliwakawekaaibu pembeni, vigezo namasharti pembeni, Viviana akajiachia kwelikweli na Ramaakaamua kumkabilikiume kwelikweli. “Lakini Rama, mbona huishiwi manjonjo nahauishi hamu kabisa baba,” Vivianalianza kuropoka huku akipeleka mikono kifuani kwa mwanaumehuyo kama anayefanya zoezi lakudarizi kitambaacha sare za wacheza shoo waharusini! Ramaalizidi kupagawa kupindukia. Wingi wa kimiminika kichwani ukichanganya naujuzi wa Vivian, mvulana huyo alikaribia kuyatajamajina yote ya babuzake waliotangulia mbele ya haki miaka mia moja iliyopita. Sikuhiyo Vivian alipania ile mbaya kumaliza ufundiwote kwaRama wake, mwanaume wakwanzakabisa kumtoa ushambaalingia jiji la maraha, Dares Salaam. “Jamani Rama…Rama…. Ramaaaaa…,” Vivian alilama nakwa safari hii alipaza sauti kwakiwango cha kuhamasisha zaidi. Akapeleka mikono yake nakumnyonyoa manyoya Ramanakisha kumalizia kwake nasekunde chache baadaye walibaki saresare maua wakibembea kwenye ulimwengu wawachache, ulimwengu ambao hauna lugha thabiti ya kuelezea ikaeleweka zaidi ya kubakie kwenyehisia za akili naroho ya mhusika! Walipashanana wote wakapashika. Mwanaumewa watu akajiweka sawa na kuingia kazini. Weee, achana kabisa na kinywaji alichokuwa amekipitishakwenye koo yake Rama. Alichimbuamtaro hadi Vivianakalazimika kutumia nguvukumuondoa kwenye mfereji wamaji taka. Kamani mechi ilikuwa kali zaidi ya ile ya ngaoya hisaniya watani wajadi. “Basi inatoshamumewangu, nakupenda sana Rama jamani, kabisa baba yanguna kuanzia leo nakukabidhi maisha yangu yote. Wewe ndiyemwanaume unayefaakunichukua jumlajumla. Kweli tena jamani, wala sitaniinaapa mimiweeee,” Vivianalikiona cha mtemakuni. Mchezo ulichezeka na kuhitimikakwa timu zote mbili kutoa suluhu ya mabao mawili kwamawili. Wotewalikuwa hoi na kutokamioyonimwao, kila mmoja alikiri nakujisikia hali ya kumkubali mwenzake. “Lakini Rama, hakika wewe ni kibokobabayangu,” Vivian alisema huku akimuegemea Ramakifuani kwake, lakini kablaRamahajajibu chochote, ghaflamlangouligongwa na kwakuwa Vivianndiye alikuwa mwenyejialivaa taulo harakahakara nakutoka kuufuata mlangoambapo alifunguataratibu na wakati anajiandaakuuliza ninani mgongaji, alishtukia akisukumwa nakuanguka hadi chini, kufumba nakufumbua alikuwa niyule mjumbe wa nyumba kumi akiwa ameambatananaJisu, yule fundiambaye alimtengeeneza mlangoVivian wakatiule wa ugomvi wake namzazi mwenzake ambapo baadaye walizaa penzikutokana na kuzidiwa napombe. MjumbenaJisu walidhamiria kufanya fujoya aina yake kwa Vivian. Walijitosa ndani na kuanza kurushavitu huku na kule. Kifupi ni kwamba walikuwa wamelewa kupindukia. Ramaalishtukasi kitoto. Alichokumbuka kukimbilia nikuvaa nguo na kusimamakiume. Kiasili Ramaalikuwa mwanaumeshupavu nakwa historiafupini kwamba aliwahi kujiunga na jeshi lakini hakumaliziamafunzo kutokana nakuugua ghaflakwa muda mrefu hali iliyopelekea kuachana najeshi, kwa hiyo alikuwa vizuri sana lilipokuja sualala kurushamakonde. Kichwani alikumbuka maelezo ya Viviankwamba kwawakati huo hakuwa namwanaume hivyoRamaalijawa naujasiri mkubwa, ingawa ukweli ni kwamba Vivianalikuwa mwanamke zoazoa. Kila mwanaumealikuwa wake, inategemeana tu nagia atakayomuingilia. “Vivian hawani akina nani mama?” Ramaaliuliza huku akijaribukumzuia mjumbe na Jisu wasiendeleekufanya fujo mle ndani. “Ni miongonimwa wanaume wanaonisumbuamtaani hapa kimapenzi lakinimimi nimekuwa nikiwakatalianaleo wameamuakujakunifanyia fujo…,” Vivian hakumalizia maelezo yake, Rama aliamua kuingia kazini. Aliwakusanya wote nakuwapigisha vichwa ambavyosivya mkoawala nchihii. Walipigika ile mbaya nakisha kuwatoa nje ambapo soo lilikuwakubwa nakukusanya mtaamzima. Mjumbeambaye alikuwa akiogopeka mtaani hapo kwa ubabe naukorofi, sasa alikuwa mkononi mwa Ramaakichezea kichapo kitakatifutenambele ya wananchiwake nahakuna aliyethubutu kuamuliazaidi ya kushangilianakuuliza kulikoni nawalipobainikwamba chanzo kilikuwa ni kumfanyia fujo Vivian, walizidisha makelele. Ni kama Mungu, wakati vurumaihiyo ikiendeela, gari lapolisi ambalo lilikuwadoria maalum lilifika maeneo yale nakuwachukua wahusika wote, yaani Vivian, mjumbe, Jisu naRamanakwenda nao kituo cha polisi ambacho hakikuwambali kutokahapo. Walilazwamahabusuhadi kesho yake asubuhi ambapo kulingana namaelezo yao, RamanaVivian waliachiwa huru nakuwaacha mjumbe na Jisu kwamahojiano zaidi ambapo askari mmoja aliambatana naVivianhadi nyumbanikwake kwa ajili ya kufanya tathmini ya vitu vilivyoharibikakutokanana ugomvi huo. Sikuchachebaadaye, Vivian naRamawalikubaliana kuoana nakwakuwa Rama alikuwa nadinitofauti na Viviankwa pamoja walikubaliana kufungia ndoa bomaninaVivian aliamua kuacha kazimwenyewe kwenyeileKampuni ya Ntana Asali nawakaamua kufungua biasharazao huku wakimtumikiaMungu kila mmojakwa imani yake na ndoayao ikishamiri kwa furaha naraha mstarehe, ambapo Vivianaliamua kukiri dhambizake zote kanisani kwake. Kwa upande wa Bigambo naye aliachana namaisha ya kuzoazoa wanawake hovyo na aliokoka nakuanza kumtumikia Mungu kwa kwenda kanisani nakushiriki ibada mbalimbali, ilifikia kipindiakakutana na Vivian akiwa naRamakatika majukwaaya dini, wakawa waumini wazuri ambapo sasa walianza kuitana kaka na dadanamaisha yalibadilika kabisa. Kwa upande wa Jisuna mjumbe walihukumiwa kifungo cha miezi sita jelakwa kushindwa kulipa faini nafidia kwauharibifu baadhi ya vitu vyaVivian nawalipoachiwa wote waliokoa na kuachana kabisa na maisha ya kijinga nacha kushangaza wote waliamua nao kumtumikia Mungu, ikawa familia yenye upendo namaisha yao yakatawaliwanaMungu na hadi sasa walishabadili kabisa maisha nakila mmoja wao anafurahia uwepo wake duniani. MWISHO.. KUTOKA KWA MWANDISHI Katikatiya chombezo hili kulikuwanachangamoto za hapa napale ambazo wasomaji mlituma SMS zenu nakuelezamaoni yenu. Asanteni kwa kuwa pamoja kuanzia mwanzo hadi leo tunapoahitimisha chombezo hili tamu kabisa ambalo naaminilimekuacha na funzo kubwa maishanimwako. Maisha yanabadilika jamani. Usikose kufuatilia chombezo jipya kabisa siku ya Jumatano ijayo kwenyeGazeti la Risasi Mchanganyiko. Kwa maoni naushauri nicheki kwanamba hizi; 06796596 33.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment