Monday, January 1, 2018
BREAKING NEWS: ' Masoud Kipanya mikononi mwa Polisi?'
Mchora Katuni maarufu Nchini, Masoud Kipanya ambaye pia ni mtangazaji wa kipindi cha Power Breakfast kinachorushwa na Radio Clouds Fm, inasemekana amekamatwa na Jeshi la Polisi kwa madai kuwa amechora katuni ambayo inagombanisha Serikali na Wananchi. Muungwana Blog imejaribu kufanya mawasiliano na Kipanya lakini simu yake ya mkononi haipatikani. Endelea kufuatilia Muungwana Blog ili kujua muendelezo wa taarifa hii.
Hii ndio picha inayo daiwa kuwa ni yauchochezi aliyo ichora na kuituma katika akaunti yake ya instagram masaa 11 yaliyo pita.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment