Friday, December 29, 2017

VIDEO: Yanga Yafunguka Sakata La Chirwa



Klabu ya Soka ya Yanga leo imetoa ufafanuzi wa mchezaji wake Obrey Chirwa kuhusishwa kurudi kwao Zambia na kuonekana shambani akifanya shughulia za kilimo.

Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Dismas Teni amesema kuwa Chirwa ni mchezaji halali wa Yanga na ni sehemu ya kikosi cha na atarejea kesho Jumamosi kuungana na wanzeke ambao wakitoka Mwanza wataelekea Zanzibar kwenye kombe la Mapinduzi ambapo kikosi hicho  kitaelekea huko hivyo .

Aidha Teni amesema kuwa kila klabu ina matatizo hivyo watu wanaongea na kundika  kwenye mitandao huwezi kuwazuia ni haki yao kufanya wanachokitaka.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI......USISAHAU KUSUBSCRIBE

WATCH HERE

No comments:

Post a Comment